Msimamo Ule Ule: Kambi Rasmi Ya Upinzani Yagoma Kusoma Hotuba Yao, Bunge Lasitishwa
Bunge |
Hali hiyo imejitokeza baada ya Mh Zitto kuomba mwongozo na kusema "Serekali imefanya makosa kwa kuwasilisha mpango huo kwa mwaka mmoja mmoja jambo ambalo ni kinyume na kanuni na katiba yetu
Wakati Zitto anaomba mwongozo, alimwomba mwenyekiti wasitishe shughuli mpaka marekebisho yakafanyike. Lakini Chenge alikataa, Cha kushangaza baada ya upinzani kugoma kuwasilisha Hotuba yao ghafla alisitisha.
Nimejiulizaa alichomkatalia Zitto ni nini na alichokuja kukifanya ni nini?
0 comments: