Mesothelioma Survival Rates About 40 percent of patients with mesothelioma survive the first year after diagnosis. That survival rate depends on many factors, including age, cancer stage, cancer type, race and gender.
Staa wa Bongo Movies na mkali wa ‘baby mama drama’ , Faiza Ally
amemshukuru Mugu baada ya mashabiki wengi kumuandikia comment nzuri
mtandaoni kwa posti yake akiwa amevalia ‘kidenti’ akiwa kwenye studio za
EATV usiku wa jana tofauti na posti zake za nyuma.
Nachukua nafasi hii kumshukuru M.Mungu mwingi wa rehma kwa kuwa naona
kwa mara ya kwanza katika comment zaidi ya mia 300 zote ni nzuri kasoro 3
kwa mimi ni kitu kikubwa maana kwenye maisha yangu mara nyingi nimekua
mtu wa kujajiwa na kutukanwa kwa sababu tu nimechagua kuwa tofauti…
All in all inaonyesha jinsi gani watu ni rahisi kukujaji na inachukua
muda kukuelewa na sasa naona baazi ya watu wanaanza kunielewa na asante
wote mnao chukua muda kunisoma na zaidi wale wanao niambia….ninacho
waahidi wale walio nikubali wala hawajapotea kabisa na kuna faida nyingi
kupitia maisha yangu – na katika kipindi changu kuna mengi ya kujifunza
kupitia maisha yangu …. Kitakua kipindi kizuri chenye uhalisia na
kitakacho kufanya ujisikie uhuru kwenye maisha yako…
Na kukubali hali yako na kufurahia maisha kwa uwezo wako na zaidi vitu
muhimu kuzingatia katika maisha yako ikiwemo kufanya vitu vinavyo kupa
furaha bila kujali watu … Maana walio wengi hata ukimuuliza anapenda
nini hajui…na pia kuna vitu muhimu vya kuzingatia kuliko kuishi kwa
ajili ya macho ya watu… Na bila kusahau huwezi kukubalika kwa watu na si
lazima maana tumeumbwa tofauti na uwezo wetu wa kutambua haufanani
kiufupi ni kuishi huru bila kumzuru mtu wala kuvunja sheria za nchi na
kufanya yalio muhimu tu….NAWAPENDA WOTE
0 comments: