BLAC CHYNA NA ROB SASA MAMBO YOTE ATHALANI
BLAC Chyna akiwa na mpenzi wake Rob Kardashian.
BLAC
Chyna na mpenzi wake Rob Kardashian wanafuraha sasa baada ya mwishoni
mwa wiki iliyopita kuonekana wakiwa pamoja ‘beach’ huku wakicheza pamoja
michezo mbalimbali huko Los Angeles.
Rob
ambaye ni kaka wa mastaa wakubwa wa kike Kim, Kourtney na
KhloeKardashian,amekuwa akipingwa huku Chyna naye akipokea matusi
kupitia mtandaoni kutok akwa familia hiyo kutokana na kuingia kwenye
uhusiano na modo huyo.
Katika
kuonyesha kuwa mapenzi hayaingiliwi,wawili hao wamekuwa pamoja mara
nyingi na kitendo cha kwenda mtoko wa pamoja na kuonekana wakicheza
michezo mbalimbali huku wakipigana picha,kinaonyesha kuwa wapo kwenye
uhusiano ‘siriaz
0 comments: