JItume Mama: Zari The Lady Boss Awakosha Mashabiki wa Penzi lake na Diamond Kwa Picha Hizi
Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ amewakosha mashabiki wa
penzi lake na Diamond ‘Baba Tiffah’ baada ya kubandika picha zake akiwa
kijijini kwao pamoja na watoto wake na kuonekana anafanya kazi zote zan
nyumbani kitendo ambacho kimewafanya mashabiki kumwagia sifa kuwa ni
mwanamke anayeyaweza maisha yote tofauti na wengi walivyokuwa
wakimfikiria hapo zamani.
Katika kunogesha Zari ame-edit picha ya diamond na kujiweka , kisha kaiweka na kuandika;
0 comments: