Shidaaah!!!!!! Karueche Amchokonoa Chris Brown....Atangaza Kuhitaji Penzi Sasa

ALIYEKUWA mpenzi wa staa wa pop, Chris Brown, mwanamitindo na muigizaji,
Karreuche Tran amefunguka kwenye mtandao wa Twitter akisema kuwa kwa
sasa amefungua milango ya uhusiano na kwamba yupo tayari kumpokea mpenzi
baada ya kukaa mpweke kwa muda mrefu japo amedai itakuwa vigumu kumpata
mpenzi wa kweli ambaye ataweza kumpa mapenzi ya dhati.
0 comments: