Umetishaaa!!! Mfalme wa Soka Africa Samatta
Waandishi
maarufu wa habari za michezo Tanzania, Tullo Chambo (kushoto) na
Ramadhani Mkandemba (kulia) wa gazeti la Tanzania Daima wakiwa na
Mwanasoka Bora Anayecheza Afrika, Mbwana Ally Samatta (katikati) baada
ya kuwasili Alfajiri ya leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere, Dar es Salaam kufatia kushinda tuzo hiyo ya Shirikisho la Soka
Afrika (CAF) usiku wa juzi mjini Abuja, Nigeria
0 comments: